December 21, 2016



Nyota wa Manchester United wanavyokwenda mazoezini, hawatumii basi kama ilivyozoeleka hapa nyumbani.

Mfumo wao ni kila mmoja ni kwenda na usafiri wake na inatumika hivyo, sehemu nyingi za Ulaya.

Lakini juzi, Kai ambaye ni mtoto wa kwanza wa Rooney, aliomba kujumuika na baba yake mazoezini, naye akamkaribisha. 

BLIND

ROMEO

ROONEY

MKHITARYAN 

MAROUANE FELLAINI

JONES 

MICHAEL CARRICK


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic