Azam FC imeanza vizuri
katika michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya
Zimanimoto.
Azam FC ilipata bao
lake la ushindi katika dakika ya 79 kupitia Shaaban Iddi katika dakika ya 79.
Hata hivyo, Azam FC
ingeweza kupata mabao zaidi kama washambuliaji wake wangekuwa makini katika
kipindi cha pili.







0 COMMENTS:
Post a Comment