January 7, 2017
Mwanzoni mwa mwezi huu, Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), lilitangaza kuwa bao la kiungo mshambulizi wa Manchester United, Henrikh Mkhitaryan ndiyo bao bora la Desemba, mwaka jana.

Mashabiki mbalimbali duniani walipiga kura na bao hilo lililofungwa Jumatatu Desemba 26, 2016 likaibuka na ushindi wa asilimia 39.9.

Bao la Alexis Sanchez  wa Arsenal lililofungwa Desemba 3, huku Arsenal ikiitwanga West Ham kwa mabao 5-1 lilifutuatia katika nafasi ya pili.


MABAO YALIYOSHINDA:

Henrikh Mkhitaryan (Manchester United 3-0 Sunderland, Mon 26 Dec) - 39.9%
Alexis Sanchez (West Ham 1-5 Arsenal, Sat 3 Dec) - 29.6%
Jeff Hendrick (Burnley 1-0 Bournemouth, Sat 10 Dec) - 16.1%  
Hal Robson Kanu (Southampton 1-2 West Brom, Sat 31 Dec) - 6.4%
Wilfried Zaha (Hull 1-2 Crystal Palace, Sat 10 Dec) - 2.9%
Steve Cook (Bournemouth 3-3 Liverpool, Sun 4 Dec) - 1.9%
Marc Muniesa (Stoke 2-0 Burnley, Sat 3 Dec) - 1.8%  

Sofiane Boufal (Southampton 1-0 Middlesbrough, Sun 11 Dec) - 1.4%

MABAO YALIYOPIGIWA KURA MTANDAONI


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV