Charles Boniface Mkwasa ndiye Katibu Mkuu mpya wa Yanga.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga zimeeleza, Mkwasa anachukua nafasi ya Baraka Deusdedit ambaye anashushwa na kuwa bwana fedha.
Mkwasa ambage aliwahi kuwa kocha msaidizi wa Yanga na baadaye Kocha Mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars, huenda akatangazwa hii leo, rasmi.
0 COMMENTS:
Post a Comment