January 8, 2017

2 COMMENTS:

  1. Kwanza kabisa Yanga waliingia uwanja wakijua kuwa wameshafuzu Nusu Fainali na katika sehemu ambao walikosea ni kumpa Mahadhi viatu vya Ngoma ilitakiwa kumi acheze kamusoko then Niyonzima acheze nane ndo maana Azam walikuwa bora zaidi katika kiungo kwa ushirikiano wa Sure boy na Domayo waliwapoteza Yanga hata ukiangalia eneo la ulinzi la Yanga Dante na Yondani hawakuwa na maelewano mazuri kulipelekea Zulu arudi chini kuwasaidia na kuwafanya viungo wa Azam wajitawale

    ReplyDelete
  2. Yanga ni timu mbovu na huwa haishindi kihalali bali 'hubebwa' tu. Hushinda kwa kuvionea vitimu vidogo na dhaifu na ndiyo maana hata kimataifa huwa 'inachekesha' tu. Kwa mchezo wa juzi, Yanga ilistahili kufungwa kutokana na kuwa na wachezaji wengi 'wazee', tofauti na wenzao Azam yenye wachezaji wenye umri mdogo! Kingine pia Yanga inaponzwa sana na vyombo vya habari ambavyo huitabiria ushindi hewa badala ya ushindi halisi. Mwisho Yanga ifike mahali sasa iache huu 'ushamba' wa kung'ang'ania kila mchezaji mzuri wa Simba! Kwani wao kamati ya usajili ina 'vipofu' wasioweza kuona wachezaji wazuri timu nyingine hadi ing'ang'anie wachezaji wa Simba tu? Mbona Simba haijishughulishi kusajili wachezaji wa Yanga? Kwanini? Ni 'wabovu' na hawana hadhi na kiwango cha kuchezea Simba!

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV