January 12, 2017



Kiungo Dimitri Payet amesema anataka kuondoka West Ham United hapo na kuweka msisitizo katika hilo, amegoma kufanya mazoezini.

Kocha Mkuu wa West Ham United, Slaven Bilic 
amesema Payet raia wa Ufaransa aliwaambia kwamba anataka auzwe.


Payet anayepokea mshahara wa pauni 125, 000 kwa wiki ameonyesha nia ya kutaka kuachana na West Ham United ambayo msimu huu imeshindwa kuonyesha cheche.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic