Baada ya kugoma na Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini, Simba itaendelea na programu zake za mazoezi kama kawaida.
Meneja wa Simba, Mussa Hassan Mgosi amesema nguvu wameelekeza katika mechi dhidi ya Majimaji mjini Songea.
“Tuna mechi muhimu ya ligi, pia kumbuka tuna majeruhi kadhaa. Hivyo tungependa kuelekeza nguvu nyingi katika mechi muhimu,” alisema Mgosi.
Simba sasa inashika nafasi ya pili nyuma ya Yanga inayoongoza kwa tofauti ya pointi moja.
0 COMMENTS:
Post a Comment