Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameachiwa kwa dhamana.
Manji ameachiwa kwa dhamana yenye thamani ya Sh milioni 10 katika kesi yake anayotuhumiwa kutumia madawa ya kulevya.
Kesi hiyo imeahirishwa na sasa itasikilizwa tena Machi 16 katika mahakama hiyo.
Aliyemuwekea Manji dhamana ni Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ambaye ni mchezaji wa zamani wa Yanga, Taifa Stars na pia amewahi kuzifundisha timu zote.

Ilike
ReplyDelete