February 16, 2017

 Hatimaye Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amepanda kizimbani.


Manji sasa yuko katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam katika kesi anayotuhumiwa kutumia madawa ya kulevya.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV