February 5, 2017


Kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC leo kina kazi nyingine ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Ndanda FC kwenye Uwanja wa Azam Complex, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Mechi hiyo itapigwa kuanzia saa 1.00 usiku na jana Azam FC ilifanya mazoezi yake saa 12 jioni yakiwa ni maandalizi ya mwisho. Angalia taswira.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV