February 5, 2017Kiungo wa Valencia, Simone Zaza amesema anaamini katika kikosi hicho ni sehemu ya kurejesha heshima yake.

Zaza amesema ndani ya Valencia ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwa kuwa ni sehemu ambayo atatulia.

“Sihitaji kitu zaidi ya upepo, ufukwe na bahari ya Valencia. Ni enero zuri la kuishi, ninaamini nitafanya kazi yangu vizuri,” alisema.


Zaza alishindwa kuonyesha cheche alipokuwa akikipiga West Ham United ya England ambayo alijiunga nayo akitokea Juventus.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV