February 15, 2017


Mwanasoka nyota duniani Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, ameonyesha kuwa naye ana majukumu yake ya kifamilia baada ya kukatiza kwenye maduka mbalimbali ya jiji la Madrid akisaka bidhaa kutaka kumnunulia mpenzi Georgina Rodriguez zawadi ya siku ya wapendanao.


Ronaldo alikuwa akihaha duke moja baada ya jingine hadi alipohakikisha amepata alichotaka kumnunulia mrembo huyo.

Ronaldo na Georgina walianza kuonekana kwa mara ya kwanza hadharani Novemba mwaka jana katika eneo Disneyland Paris.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV