March 18, 2017


Azam FC wamefanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya kuwavaa Mbabane Swallows ya Swaziland katika mechi ya Kombe la Shirikisho.

Azam FC watakuwa na kazi ya kulinda ushindi wao lakini kama haitoshi, watatakiwa angalau kupata bao la mapema ili kujiweka vizuri waweze kusonga mbele.


Azam FC ilimaliza mazoezi na kila kitu nchini Afrika Kusini na imewasili leo nchini Swaziland.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV