March 18, 2017


Yanga imetoka sare ya bila kufunga dhidi ya Zanaco kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Lusaka, Zambia, leo.
Sare hiyo inawang’oa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwa mechi ya kwanza jijini Dar es Salaam, kulikuwa na sare ya bao 1-1.

Zanaco inasonga mbele kwa bao la ugenini.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV