March 17, 2017


Manchester United imeitwanga Rostov ya Russia kwa bao 1-0 na kusonga mbele Ueropa League.

Rostov walikuwa wabishi hasa, walijilinda kwelikweli lakini mwisho dakika ya 70, Juan Mata akafunga na Man United sasa imeingia hatua ya robo fainali ya michuano huyo.


Tayari Mtanzania Mbwana Samatta alishatangulia akiwa na kikosi chake cha KRC Genk ambacho kimetinga robo fainali kwa kuing’oa Gent pia ya Ubelgiji kwa jumla ya mabao 6-3.

Manchester United (3-4-2-1): Romero 7, Valencia 7, Bailly 6, Smalling 6.5, Rojo 6.5, Pogba 6.5 (Fellaini 48, 7), Blind 6 (Jones 64, 6), Herrera 6, Mata 7.5, Mkhitaryan 7, Ibrahimovic 6
Subs not used: De Gea, Lingard, Carrick, Young, Rashford
Goal: Mata 70 


Rostov (5-3-2): Medvedev 7; Terentyev 6, Mevlja 6.5, Navas 6, Kudryashov 6, Bayramyan 5.5 (Kireev 81); Erokhin 6, Prepelita 6.5 (Devic 79), Noboa 7; Poloz 6, Azmoun 6.5 (Bukharov 61, 6)
Subs not used: Goshev
Booked: Bukharov 
Referee: Gediminas Mazeika 70 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV