March 23, 2017


Lukas Podolski amefunga bao pekee Ujerumani ikitwanga England kwa bao 1-0 katika mechi ya kirafiki na yeye akastaafu rasmi.

Wakati anastaafu, ameondoka amefunga mabao 49 ya kimataifa yakiwa ni mengi zaidi kuliko wachezaji wote waliokuwa kwenye kikosi cha England jana kwa kuwa jumla yao ni mabao 46 tu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV