March 13, 2017


Man United inaivaa Chelsea katika mechi ya robo fainali ya FA Cup kwenye Uwanja wa Stamford Bridge jijini London, leo.

Tayari Man United wametua London kwa usafiri wa treni tayari kwa mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu kubwa.


Katika mechi hiyo, Man United itawakosa Zlatan Ibrahimovic mwenye adhabu ya kufungiwa mechi tatu, Marcus Rashford na Anthony Martial.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV