March 15, 2017


Man City wamesafiri kuifuata Monaco katika mechi yao ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Wanacheza ugenini nchini Ufaransa, lakini City wameonekana kujiamini huku wakiwa na mwonekano mpya wa suti zenye sulana kwa ndani.

Monaco, nao wako vizuri ingawa watawakosa wachezaji kadhaa ambao ni majeruhi. Pia bado hawana uhakika kama nahodha wao, Radamel Falcao atakuwa fiti.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV