March 15, 2017


Mtoto wa Lionel Messi si shabiki wa soka, haupendi mpira na hapendi kuangalia mpira uwanjani au kwenye runinga.

Dogo huyo hapendi ingawa anaweza anagalau kuiangalia Barcelona wakati inacheza.

Mara kadhaa amekuwa akipenda uwanjani kumuangalia Luis Suarez ambaye ni rafiki yake.

Baba yake, ameeleza Thiago si shabiki wa soka na havutiwi na mchezo huo.


Hali hiyo imeanza kuzua mjadala kwamba, huenda asifuate nyayo za baba yake ambaye ndiye mwanasoka mwenye kipaji zaidi kwa kipindi hiki.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV