March 4, 2017


Kagera Sugar imeitwanga Majimaji ya Songea kwa bao 1-0 na kuzidi kujiweka vizuri katika Ligi Kuu Bara.

Bao la Kagera Sugar wakiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba lilifungwa na Mbaraka Yusuf.


Kwa Ushindi huo, Kagera sasa imejikusanyia jumla ya pointi 42 na kuzidi kuipa presha Azam FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV