March 5, 2017
Kanjunju John yuko njiani kwenda Morogoro kuishuhudia Yanga ikipambana na Mtibwa Sugar.

Kanjunju shabiki wa Yanga aliyelia baada ya kuliwa Sh 50,000 aliyokuwa “amebet” akiwa na uhakika Yanga itashinda.

Simba iliyokuwa nyuma kwa bao 1-0, ilisawazisha na kufunga jingine moja la ushindi.Hata hivyo, amefanikiwa kupata nauli na leo ana uhakika kuiona Yanga ikipambana na Mtibwa Sugar pale Jamhuri Stadium.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV