March 5, 2017


Tony Bellew amethibitisha maneno yake kuwa atamchapa mpinzaji wake David Haye na kumuaibisha.

Bellew amemtandika Haye kwa Technical knockout katika raundi ya 11 katika pambano kali la ngumi za kulipwa jijini London, jana.

Pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia lilisha Bellew akiwa shujaa na Haye akilazimika kupigana akiwa majeruhu baada ya kuumia “kiasi” cha mguu wake wa kulia.

Aliumia katika raundi ya 5, lakini aliendelea kujikongoja lakini ilipofika raundi ya 11, timu yake ilirusha taulo
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV