March 6, 2017


Labda unaweza kushangazwa na muonekano wa shabiki wa Yanga, Kanjunju John.

Kanjunju alimwaga machozi baada ya Yanga kufungwa mabao 2-1, yeye akiwa shabiki lakini alikuwa amepoteza mtaji wake wa Sh 50,000.

Biashara yake ni kuuza nguo. Akamwaga machozi kama mtoto mdogo lakini mwonekano wa Kanjunju akiwa ametulia, unaweza ukadhani ni “kibosile”.

Huyu ndiye Kanjunju John. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV