March 10, 2017

CHACHA

Maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wameshinda kesi yao ya tuhuma za rushwa.


Juma Matandika ambaye ni Msaidizi wa Rais wa TFF Jamal Malinzi, na Martin Chacha aliyekuwa mkurugenzi wao mashindano wa TFF. 
 walikua wananashtumiwa kuomba rushwa ya milioni  25 kwa viongozi wa timu ya Geita Gold Sports ameachiwa huru  Leo 

Sauti ziliolewa kuwa ni zao, zilisikika zikieleza mipango ya kuisaidia Geita Gold Sports na ilitakiwa fedha kwa ajili pia ya kuwapa viongozi wengine.

Ingawa wadau wengi wanaojua sauti zao waliamini ni wao kabisa, lakini Mahakama ya Mkazi Kisutu imetupilia mbali ushahidi wa sauti uliowasilishwa mahakamani hapo. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic