March 12, 2017


Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wametoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Zanaco ambao ni mabingwa wa Zambia.

Ilikuwa mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, atakayeteleza, basi anaangukia kwenye Kombe la Shirikisho.

Yanga ina kazi ngumu katika mchezo ujao mjini Lusaka na lazima ijiandae kwelikweli. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV