March 11, 2017
SImba imeitwanga Polisi Dodoma kwa mabao 3-0 katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.


Mabao ya Simba katika mchezo huo yalifungwa na Laudit Mavugo, Shiza Kichuya na baadaye Juma Liuzio akashindilia msumari wa mwisho.

Simba iko njiani kwenda Kanda ya Ziwa ambako itacheza mechi tatu dhidi ya Kagera Sugar, Mbao FC na Toto African.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV