March 12, 2017


Pamoja na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Lincoln katika Kombe la FA, mashabiki wa Arsenal wanaonekana wanataka kilekile wanachotaka nacho ni Kocha Arsene Wenger kuachia ngazi.

Mashabiki wameendelea kuandamana mitaani wakiwa wameanzisha kampeni mpya waliyoibandika jina la “Wexit”.

Wexiti ni muunganiko wa maneno mawili, Wenger na Exit ikiwa ni sehemu ya wao kuonyesha sasa wako siriaz wanataka Wenger aondoke.


2 COMMENTS:

  1. WeIXIT is also join in Tanzania We want Arsene Wenger to step down we need more changes GO Wenger leave us with our club

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV