March 28, 2017


Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amekabidhi ofisi rasmi, leo.

Nape amekabidhi ofisi hiyo kwa Dk Harrison Mwakyembe ambaye anachukua nafasi yake baada ya kuteuliwa na Rais John Pombe Magufuli.

Makabidhiano hayo yalifanyika leo chini ya katibu mkuu wa wizara hiyo mjini Dodoma, leo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV