March 17, 2017Droo ya robo fainali imepangwa na kikosi cha KRC Genk anachokitumikia Mbwana Samatta kimepangwa kucheza na Celta Vigo ya Hispania.

Genk ambayo imewatoa Gent kutinga hatua hiyo, itaanzia ugenini dhidi ya Celta, moja ya timu matata za Hispania.

Kwa upande wa Man United, wao wataanzia ugenini nchini Ubelgiji dhidi ya vigogo wa nchi hiyo Anderletcht.RATIBA ILIVYO: 
Anderletcht Vs Man United
Celta Vigo Vs Genk
Ajax Vs Schalke 04

Lyon Vs Besiktas

1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV