March 12, 2017Genk imeendeleza ushindi katika Ligi Kuu Ubelgiji kwa kuitwanga Westerlo kwa mabao 4-0 huku Mtanzania Mbwana Samatta akiendelea kung'ara.


Samatta amefunga bao moja kati ya manne ya Genk katika mechi hiyo ya ugenini.

Mtanzania huyo ndiye alifungua karamu ya mabao katika dakika ya 7, Thomass Buffel akaongeza la pili dakika ya 27, na Genk ikaenda mapumziko na mabao 2-0.

.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV