March 2, 2017


Baada ya kuonyesha imeamka kwa kuichapa Ruvu Shooting kwa mabao 2-0 licha ya kuwa pungufu, Yanga imeendelea na mazoezi leo.

Yanga wamekuwa wakijifua kujiandaa na mechi zao zijazo za Ligi Kuu Bara huku wakiwa na matumaini makubwa ya kutetea ubingwa wao.

Pamoja na jukumu la kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga ina inaelekeza nguvu zake katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na wanatakiwa kucheza dhidi ya Zanaco ya Zambia.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV