March 2, 2017


Kiungo Emmanuel Martin wa Yanga ameonyesha kuruka juu kama mkizi na kufunga mabao ya vichwa si jambo geni kwake.

Wakati alifunga bao la pili dhidi ya Ruvu Shooting jana, akiruka juu kama samaki aina ya mkizi. Leo amerudia hiyo mazoezini na kupiga kichwa kama kile kilichozaa bao la pili jana.

Martin aliyesajiliwa na Yanga akitokea JKU ni kati ya wachezaji wepesi na wenye kasi kubwa.


Yanga iliendelea na mazoezi yake leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic