March 9, 2017


Kikosi cha Zanaco ya Zambia kimeondoka jijini Lusaka kuifuata Yanga.

Yanga itakuwa mwenyeji wa Zanaco katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika mechi itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, keshokutwa.

Kikosi hicho kinatarajia kutua jijini Dar es Salaam, saa 10 jioni.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV