April 13, 2017

FAKHI
Kamati ya Saa 72, imesikiliza rufaa ya Simba dhidi ya Kagera Sugar na kupitisha uamuzi wa kuipa pointi tatu na mabao matatu.

Simba ilikata rufaa ikitaka ipewe pointi tatu kwa kuwa Kagera Sugar ilimchezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano.

Katika mechi hiyo, Simba ililala kwa mabao 2-1 na baada ya hapo, ikatangaza kutangaza kukata rufaa.


Katika kikao cha leo, Simba imeshinda rufaa hiyo baada ya kubainika kuwa Fakhi alikuwa na kadi tatu za njano.

1 COMMENTS:

  1. Hongere zao wazee wa �� Table tennis, Ndio walipofika safi sana.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic