Kamati ya Saa 72, tayari imeanza kusikiliza rufaa ya Simba dhidi ya Kagera Sugar.
Simba imekata rufaa ikitaka ipewe pointi tatu kwa kuwa Kagera Sugar ilimchezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano.
Katika mechi hiyo, Simba ililala kwa mabao 2-1 na baada ya hapo, ikatangaza kutangaza kukata rufaa.
Tayari imeelezwa kuwa taarifa ya uamuzi itapatikana leo baada ya kamati hiyo kumaliza kikao chake na TFF ndiyo watakaoitangaza.
0 COMMENTS:
Post a Comment