April 16, 2017


Kiungo nyota wa Azam FC, Frank Raymond Domayo amepata msiba baada ya kufiwa na baba yake mzazi mzee Domayo aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. 

Baba yake alikuwa amelazwa akipatiwa katika hospitali hiyo kubwa nchini kabla ya mauti kumfika.


   Tunatoa Pole sana Domayo maarufu zaidi kama ' Chumvi ' kutokana na msiba huo, pole pia kwa familia yake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV