April 25, 2017Mshambuliaji nyota wa Man United, Anthony Martial raia wa Ufaransa ameonekana katika mitaa ya mji wa Manchester United akiwa na mpenzi wake Melanie Da Cruz Pires.

Martial alifunga bao moja wakati Man United ikiitwanga Burnley kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu England, wikiendi iliyopita.

Hivi karibuni, mpenzi wa zamani wa Martial aitwaye Samantha Jacquelinet alimuita Melanie ni malaya, lakini mwanamitindo huyo hakuonyesha kuwa na matata sana.

Kitendo cha Martial na Melanie kuonekana mitaani mara kwa mara kimeonakana kumkera Samantha ambaye ni ni “mzungu”

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV