April 19, 2017Mshambulizi nyota wa AC Monaco, Kylian Mbappe Lottin amezidi kuonyesha uwezo baada ya kufunga tena wakati timu yake ikiichapa Dortmund kwa mabao 3-1 na kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa jumla ya mabao 6-3.

Katika mechi ya kwanza mjini Dortmund, wageni Monaco walishinda 3-2 huku Mbappe akipachika mabao mawili.

Monaco starting XI: Subasic, Toure, Glik, Jemerson, Mendy, Moutinho, Bakayoko, Silva, Lemar, Falcao, Mbappe
Monaco subs: De Sanctis, Jorge, Dirar, Germain, Raggi, Cardona, N'Doram


Borussia Dortmund XI: Burki, Piszczek, Ginter, Sokratis, Durm, Weigl, Sahin, Reus, Kagawa, Guerreiro, Aubameyang
Dortmund subs: Weidenfeller, Bender, Dembele, Pulisic, Merino, Castro, Schmelzer
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV