April 19, 2017


FC Barcelona imeng'olewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya sare ya bila mabao dhidi ya Juventus.

Licha ya kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Camp Nou, Barcelona ilishindwa kushinda na kufanya Juventus ya Italia isonge mbele kwa jumla ya mabao 3-0, ushindi walioupata mjini Turin katika mechi ya kwanza.

Mabao mengine ya Monaco yalifungwa na nahodha wake, Radamel Falcao na Varele Germain akahitimisha bao la tatu.


VIKOSI
Barcelona: Ter Stegen 7, Roberto 8 (Mascherano, 78), Pique 8, Umtiti 7, Alba 7, Busquets 8, Rakitic 6 (Alcacer, 58), Iniesta 8, Neymar 7, Suarez 7, Messi 7
Subs not used: Cillessen, Denis Suarez, Digne, Andre Gomes, Alena
Booked: Iniesta, Neymar 


Juventus: Buffon 8, Dani Alves 8, Bonucci 9, Chiellini 9, Alex Sandro 8, Khedira 7, Pjanic 8, Cuadrado 8 (Lemina, 84), Dybala 7 (Barzagli, 75), Mandzukic 7, Higuain 7 (Asamoah, 88)
Subs not used: Neto, Benatia, Lichtsteiner, Rincon
Booked: Chiellini, Khedira 
Referee: Bjorn Kuipers (Holland)
Player ratings by Pete Jenson at the Nou Camp 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV