April 3, 2017


Moja ya picha bora za leo ni hii, kiungo James Kotei wa Simba akipambana na Christopher Edward wa Kagera Sugar.


Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara ilipigwa jana kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba na Simba ikalala kwa mabao 2-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV