April 21, 2017Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho leo ikiwa ni maandalizi ya mwisho kabla ya kuivaa Prisons, kesho.

Yanga itaivaa Prisons katika mechi ya Kombe la Shirikisho, michuano inayodhamiwa na Azam Media.


Mechi hiyo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho itapigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Yanga wamefanya mazoezi wakionekana wako vizuri na tayari kwa mchezo huo wa kesho, ukiwa ni wa kwanza kwao tokea warejee nchini wakitokea Algeria.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV