April 21, 2017


Simba imepeleka maombi kwa Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro kuomba kuandamana.

Simba kupitia Rais wake, Evans Aveva imeomba kuandamana ili kufikisha ujumbe kwa TFF ambayo wanaamini imekuwa haiwatendei haki.


Katika barua yake kwenda kwa Siro, Aveva amesisitiza maandamano hayo yatakuwa ya amani ili kufikisha ujumbe wao.

1 COMMENTS:
  1. Maandamano ya kudai pointi za mchezo tuliopoteza! mimi sielewi. Ni dunia ipi tuliyoko sisi?
    ya
    Maandamano

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV