May 19, 2017


Wachezaji wa Atletico Madrid wametembelea uwanja wao mpya ambao uko katika matengenezo.

Uwanja huo uko katika hatua za mwisho na unatarajia kuanza kutumika msimu ujao na keshokutwa Jumapili, Atletico watakuwa wanauaga uwanja wao walioutumia kwa miaka 50.

Kwa sasa Atletico Madrid wanatua Uwanja wa Vincente Calderon ambao pia upo katika jiji la Madrid.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV