May 19, 2017Madereva sita wa kampuni ya usafirisha mafuta ya ZHP wameonekana ni wenye furaha baada ya kukombolewa.

MAdereva hao wameungana na wenzao baada ya kutekwa katika moja ya barabara za nchini DR Congo wakiwa njiani kupeleka mafuta kutoka Dar es Salaam.

Kampuni ya ZHP inamilikiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe.


Akiwa nchini Congo Jana, Hanspoppe jana alithibitisha kupatikana kwa madereva hao hiyo jana baada ya kutekwa.


MADEREVA WAKIONYESHA MAFARI YALIVYOSHAMBULIWA KWA RISASI.

HUYU DEREVA ALIJERUHIWA


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV