May 7, 2017Celtic imeendelea kukamata rekodi ya kutofungwa katika mechi za Ligi Kuu ya Scotland na michuano mingle ya nchini humo kwa mwaka sasa.

Imeendelea kushika rekodi hiyo baada ya kuichapa St Johnstone kwa mabao 4-1 katika ligi ya nchi hiyo.


Mara ya mwisho Celtic ambayo ni moja ya timu kubwa nchini humo, ilipoteza mechi Mei 11, 2016.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV