May 9, 2017


  • Juventus imefanikiwa kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwa timu ya kwanza kufanya hivyo msimu huu.
Imetinga fainali kwa kuichapa Monaco ya Ufaransa kwa mabao 2-1 katika mechi iliyoisha hivi punde. Hivyo kuvuka kwa jumla ya mabao 4-1 baada ya ushindi wa mabao 2-0 ikiwa ugenini katika mechi ya kwana.

Mandzukic na Dani Alves ndiyo mashujaa wa leo wa Juve baada ya kufunga mabao hayo mawili lakini kinda Kylian Mbappe, naye alifunga bao moja la kufutia machozi kwa timu yake.

VIKOSI:

  • Juventus: 
  • Buffon; Chiellini, Barzagli, Bonucci; Dani Alves, Pjanic, Khedira, Alex Sandro; Mandzukic, Dybala; Higuain 
  • Subs: Neto, Lichtsteiner, Benatia, Asamoah, Marchisio, Rincon, Cuadrado 

  • Monaco:
  • Subasic; Sidibe, Glik, Jemerson, Raggi; Mendy, Moutinho, Bakayoko, Silva, Mbappe, Falcao
  • Subs: De Sanctis, Fabinho, Mendy, Diallo, Lemar, Germain, Carrillo 0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV