May 17, 2017Kocha wa timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Sebastian Nkoma ameita wachezaji 45 ambao wataingia kambini kunzia Mei 21 mpaka 27, mwaka huu.

Wachezaji hao 45 itakuwa ni kwa ajili ya kuandaliwa kujiunga na kikosi cha Twiga Stars kitakayoanza harakati za kuwania kufuzu Afcon ya Wanawake pamoja na Kombe la Dunia kwa Wanawake litakalofanyika mwaka 2019.

Wachezaji hao wamepatikana baada ya kumalizika kwa ligi ya wanawake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV