May 4, 2017Kwa kweli huyu Floyd Mayweather anaweza kukuua kwa presha, maana anavyoshikilia hiyo “minoti”, angekuwa anajua hali yetu hapa Bongo, wala asingethubutu. Maana unaweza kujikuta unataka kuinyakulia picha fedha zinazoonekana. Au kama ndiyo ungekuwa na gun, mwanangu unaipiga picha “telo”.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV