May 19, 2017

Man United imefanya hafla ya kukabidhi tuzo kwa wachezaji wake mbalimbali na Antonio Valencia ameibuka na kuwa mchezaji bora wa mwaka akiwa bao nyota wengine akiwemo Zlatan Ibrahimovic.

MCHEZAJI BORA WA MWAKA:
Antonio ValenciaBAO BORA LA MSIMU
Henrikh MkhitaryanMCHEZAJI KIJANA BORA WA MWAKA 
Angel Gomes1 COMMENTS:

  1. Naomba muwe makini katika taarifa zenu...Valencia ameshinda tuzo ya Players' player of the year, na aliechukua tuzo ya united player of the year ni Ander Herrera so angalieni vyanzo vyenu vya habari

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV