May 19, 2017


Leo kulikuwa na hafla fupi ya utoaji tuzo ndani ya kikosi cha Manchester United baada ya msimu kwisha.

Wachezaji wa Man United wakiwa na wapenzi au wake zao kwa baadhi na wengine mabachela, kila mmoja alijaribu kutoka kivyake ndani ya “jumba” au suti. Angalia ilivyokuwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV